THEO WALCOT
Habari za uhakika kutoka katika washika bunduki wa London, ARSENAL FC zinasema kuwa mchezaji wake mahili Theo Walcot amekubali kusaini mkataba utakaomuweka klabuni hapo kwa muda mrefu japo hajabainisha ni mda gani,na kumaliza sakata lililokuwa limetawala katika vyombo vya habari kuwa ataihama klabu hiyo katika drisha dogo mwezi huu
No comments:
Post a Comment