Tuesday, December 25, 2012

MWANAJESHI ALIEAMUA KUPIGA PICHA NA VIONGOZI WA CHADEMA

Mwanajeshi aliyejitambulisha kuwa anatoka monduli aliamua kupiga picha na viongozi wa chadema kuonyesha kuwa amekikubali chama hicho kuliko kilichomuweka yy kazini,,from michael mombuli

No comments: