Tuesday, December 25, 2012

YANGA SC vs TUSKER FC


Timu ya mpira wa miguu Yanga sc leo inashuka dimbani katika uwanja wa taifa kukipiga na mabingwa wa Kenya timu ya Tusker fc katika mechi ya kurafiki ambapo kocha wa yanga Brandts anataka kukipima kikosi chake kwaajiri ya mzunguko wa pili unaotarajiwa kuanza hivi karibuni

No comments: